1. Ati nyanyako ni mzae
mpaka ndoto zake ziko na
scratch.
2. Wewe umeharden
mpaka ukigusa mouse
comp. ina pop up ‘found
new hardware’
4. Una utoto mob hadi
phone yako qwa
Applications kuna pottie.
5. Tv ni noma hadi
inashika police station.
6. Tv yenu ni ndogo
hadi Swaleh Mdoe huingia
ki Gully Creeper.
7. We ni mlafi hadi
unalamba vidole after ku
smoke sigara.
8. Una kichwa kubwa
ukiota ziuanza “previously
on…”
9. We ni mu ugly hadi
incubator yako ilikuwa
tinted.
10. We ni mchoyo mpaka
huwezi give your life to
Christ.
11. Ati dogi yenu ni xoo
handsome hadi ikibark
masako ana blush.
13. manzi yako ni mkonde
mpaka mkienda club
bouncer anaqwambia “hey
kijana maliza miwa
qwanza …”
14. Ulikuwa mbigi ukiwa
mtoi, watoi wengine
wakililia wembe unalilia
power saw.
15. Una kichwa ndogo hadi
ndoto zako zinakuanga za
mp3.
16. We ni mchoyo mpaka
unamezanga mate kwa
mfuko usiombwe.
”18. We ni mzee mpaka
adams apple yako imeoza.
19. We ni mjanja hadi
ukizaliwa ulivibrate badala
ya kulia.
BONUS: umezoea mpango
wa kando sana mpaka
ukirecharge unaambiwa
‘ recharge successful lakini
uachane na mpango wa
kando ’
mpaka ndoto zake ziko na
scratch.
2. Wewe umeharden
mpaka ukigusa mouse
comp. ina pop up ‘found
new hardware’
4. Una utoto mob hadi
phone yako qwa
Applications kuna pottie.
5. Tv ni noma hadi
inashika police station.
6. Tv yenu ni ndogo
hadi Swaleh Mdoe huingia
ki Gully Creeper.
7. We ni mlafi hadi
unalamba vidole after ku
smoke sigara.
8. Una kichwa kubwa
ukiota ziuanza “previously
on…”
9. We ni mu ugly hadi
incubator yako ilikuwa
tinted.
10. We ni mchoyo mpaka
huwezi give your life to
Christ.
11. Ati dogi yenu ni xoo
handsome hadi ikibark
masako ana blush.
13. manzi yako ni mkonde
mpaka mkienda club
bouncer anaqwambia “hey
kijana maliza miwa
qwanza …”
14. Ulikuwa mbigi ukiwa
mtoi, watoi wengine
wakililia wembe unalilia
power saw.
15. Una kichwa ndogo hadi
ndoto zako zinakuanga za
mp3.
16. We ni mchoyo mpaka
unamezanga mate kwa
mfuko usiombwe.
”18. We ni mzee mpaka
adams apple yako imeoza.
19. We ni mjanja hadi
ukizaliwa ulivibrate badala
ya kulia.
BONUS: umezoea mpango
wa kando sana mpaka
ukirecharge unaambiwa
‘ recharge successful lakini
uachane na mpango wa
kando ’
No comments:
Post a Comment